Crown au brevis

Sahihi, tatizo lake hua Ni pale tu kwny 180km/h

Kwa Nchi zilizoendelea top speed matter

Ila bongo hapa mwenye ana accerelate faster ndo atanyanyasa watu huko barabarani coz hatuna hizo barabara za kumaintain above 180km hata dakika 10 tu

Hapa Tz Ndo maana barabarani V8 ananyanyasa lkn nyingi top speed ni 180km/hr japo zipo zenye 240km/hr
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…