Hiko kitu Mileage sijui alichoweka 35000 sijui ndo nini, na kama angejua maana yake halisi wala asingeiandika hivyo, maana hamna kitu kama hicho. Maana halisi ya Mileage ni uwezo wa gari/vehicle ukiwa na lita 1 ya mafuta litaenda umbali gani, sasa ye kama aliandika 35000 ni dhahiri uwongo wa kiwango cha zege...!!