elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Inaongeleka halafu 2008++ bei zake na kodi sio friendlyDuh! Kabei ngoja nizamie kwanza milelani
Inakunywa kwa uwezo wa engine yake mkuuTatizo nijini hili,kama huna urafiki na wazee wawese utalipaki
Haina tofauti na mark x mkuu unywaji wake ule ule.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa analiuza la nini kama kaagiza mwenyewe.....au hakuulizia engine ya hizi gari...kaja kushtuka kanunua Meli ....
pipe za kuvuta mafuta ni nene kama chupa ya soda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa analiuza la nini kama kaagiza mwenyewe.....au hakuulizia engine ya hizi gari...kaja kushtuka kanunua Meli ....
pipe za kuvuta mafuta ni nene kama chupa ya soda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, Toyota crown ni daraja lingine kabisa tofauti na Mark X...unaona muuzaji hajasema engine ina CC ngap!! Ni kawaida sana ukikuta ni 6 cylinder 3499cc[emoji41]Haina tofauti na mark x mkuu unywaji wake ule ule.
Siyo kila gari linauzwa coz ya fuel consumption mkuu.
Ina cc2500, sasa unategemea hilo gari linywe mafta ka IST kweli?Hapana, Toyota crown ni daraja lingine kabisa tofauti na Mark X...unaona muuzaji hajasema engine ina CC ngap!! Ni kawaida sana ukikuta ni 6 cylinder 3499cc[emoji41]
...kwa hoja hii,wanadamu tungeanza kuyaona haya mabichwa yetu ni 'tatizo' we ungekuwa wa kwanza kuomba upewe kichwa cha kuku!Tatizo nijini hili,kama huna urafiki na wazee wawese utalipaki
Mkuu maisha tunatotautiana,cc3000 maisha haya ni issue Nina jamaa yangu analo brevis cc3300 kilasiku anagea wese tu usiige kimya kwa tembo...kwa hoja hii,wanadamu tungeanza kuyaona haya mabichwa yetu ni 'tatizo' we ungekuwa wa kwanza kuomba upewe kichwa cha kuku!
....kwahiyo hilo sio 'tatizo' la gari;bali mmiliki!....Mkuu maisha tunatotautiana,cc3000 maisha haya ni issue Nina jamaa yangu analo brevis cc3300 kilasiku anagea wese tu usiige kimya kwa tembo
Umenichekesha sana [emoji38][emoji38][emoji38] japo Crown sio za mchezo mchezo huwa ila ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa analiuza la nini kama kaagiza mwenyewe.....au hakuulizia engine ya hizi gari...kaja kushtuka kanunua Meli ....
pipe za kuvuta mafuta ni nene kama chupa ya soda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi utakua una pesa sana kama cc 3000 ni kawaida kwako, kama hauna pesa na unasema ni kawaida....lazma utakua una jishaua tu... unazungumzia engine mbili za carina yenye cc1500. [emoji16][emoji16][emoji16]Umenichekesha sana [emoji38][emoji38][emoji38] japo Crown sio za mchezo mchezo huwa ila ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida
Uandae mikataba yako vizuri sio kesho tena unakuja na mkwala oooh mwenye crown hii namtafuta!!!!Ina cc2500, sasa unategemea hilo gari linywe mafta ka IST kweli?
Na mtu mpaka anatoa 35 mls kununua gari kama hilo sidhani kama mafta kwake itakuwa big issue.
Usikariri mkuu....Uandae mikataba yako vizuri sio kesho tena unakuja na mkwala oooh mwenye crown hii namtafuta!!!!
Sasa wenye gari zina cc 5000 watasemaje mkuu.Basi utakua una pesa sana kama cc 3000 ni kawaida kwako, kama hauna pesa na unasema ni kawaida....lazma utakua una jishaua tu... unazungumzia engine mbili za carina yenye cc1500. [emoji16][emoji16][emoji16]