Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

Pamoja na hayo dada ninamaswali mawili kwako na kwa wanawake wote kwa ujumla.Kwanza uyo baba sam pamoja na madhaifu yake uliyoyasema akijirekebisha utakuwa tayari kuachana na ben na kutunza ndoa yako(kiapo cha kanisani)

Pili hivi nyie wakina dada mishahara yenu huwa mnaipeleka wapi wakati mnajua maisha ni kusaidiana?Natanguliza ahsante kama utanijibu

😂😂😂bas kwa taarifa yako boy misjahara etu ndo inalishja nyumba na kuvalisha watoto..nakulipia bills.. inakata dstv mume anakuambia lipia nitakulia nxt week.imetoka hyo.. kununulia nguo watoto..nk nk.. wanaume wengi wanapenda kula vizuri bas lazima ilisje familia..
plus kupendezesha nyumba😊😊 mfano mapazia hivi mazuri😊😊..unadhan sie tunahonga?hatuhongi!ila.km.mchepus una shida lazima uzame kwenye wallet😎
 
IVI NYIE WANADAMU WA JF.. NI LINI MTAKUA NA AKILI???

HUYU WILLY MTOA MADA ..NDIO HUYU HUYU ANAYEJIITA A WOMAN.

KWA UFUPI, KUWENI MAKINI...NINACHOKIONA HAPA JAMAA KAFANIKISHA KWA ASILIMIA 100% LENGO.

NARUDIA ....... MLOPANGA KMFATA DEMU.KUWENI MAKINI.

MADEMU WA HUMU PIA, MNAIPENDA PESA,, KUWENI MAKINI.

MTOA MADA NI MWANADAMU MWENYE AKILI SANA, AMBAPO INAKUPASA UWE NA AKILI YA ZIADA SANA, YAAN AKILI YAMAANA SANA KUMJUA .
Yaweza kuwa ndiyo hiki ukisemacho, lakini pia yaweza kuwa siyo. Mkuu tusihitimishe kwa tafsiri zetu. Tujadili yote kwa mizani.

Huyu jamaa kuna uwezekano mkubwa kaumizwa na pia mwenza wake kaja kaona kafedheheshwa kwa kuanikwa. Kaamua kujibu mapigo.
Jamaa anampenda woman wake Sana nionavyo.

Km ni uongo toa ushauri tujifunze na km Ni kweli pia utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.

Ni kile nionacho
 
Hio point mbona kama ndo ile wanasema no return.
Unampenda sana kiasi kwamba anakutawala kwa nn akatae kushika simu yake?.
Talk tu her na umpe stop,
kizur zaid uko kikachero utamgundua tu kama bado anaendelea
na pia ukimwambia yote atakuwa shocked na ataogopa zaid kucheat.
 
Kwa sisi ambao hatujaoa mada kama hizi zinakufanya unakata tamaa kabisa,ila pole sana
 
Nina shangazi yangu mmoja na mme wake wameishi kwa furaha kwa muda mrefu toka nakua niwewakuta hivi. Kwangu walinivutia sana sana.
Siku moja nikamuuliza Dada yangu kuwa "hivi shangazi na mjomba John walishawahi kugombana kweli? Maana natamani namna ya maisha yao ya ndoa"

Dada akanijibu, " kua uyaone, hivyo ndivyo waishivyo. Ila ni kuwa shangazi alishawahi (kukimbia nyumba kwa miaka mitatu huko nyuma akatokomea na mwanaume mwingine) kuwa nje ya ndoa".

Huo ni mfano tu na pia ni maisha wa baba na mama zetu wa zamani. Wachache Sana wanaweza kumudu hiyo hali ya uvumilivu.

Yangu ni kuwa huyo mwanamke apewe nafasi ya kutathimini chaguo la maisha yake. Kama ni Ben au Willy.

Apewe muda wa kutosha narudia.
Asifanye haraka kutafuta suluhu mwanaume itakula kwake kwa jinsi woman alivyochanganyikiwa.

Haitapendeza kutafuta watu wa kuwapatanisha kwa sasa mpaka hapo woman atakapomaliza malipizi yake.

Akitoka salama kwenye hayo malipizi akawa comfortable hapo wataweza fanya mazunguzo na yamaeleweka.

Mwanaume kuomba msamaha katika kipindi hiki cha mvurugano si uungwana kabisa nionavyo. Kwa kuwa woman hajamaliza kusirani chake, atarudi tena misri kwa farao kwenye nyama na matango.

Hakuna ajuaye ya jesho na pia ili iwe kesho lazima leo uipange kesho.
 
ss hapa wanaume muelewe..kuna mtu hapo juu nilisema mwanaume hutulizwa na mwanamke ila sio mwanamke hutulizwa.. ni had aamue yy.. mie nayasema haya coz nimewah pitia haya hakuna aliyenishawishi nicool down.. nyumba niliamua iwe🔥🔥.. yaan nilikua nawapa sababu zangu wanarudi nyuma ***** zao..nikaja amua kutulia mwenyew coz wanangu walikua wananimis mama yao nikiwa ziarani😔😜!haya mambo haya mie nasema tuyaangalie hiv hiv hakuna wa kumsimanga mwanmke kwakweli.. ila ss inategemeana na akili ya mwanamkr... bishoga katisherr!
 
I will leave u with this!

1 Corinthians 10:13

“No temptation has overtaken you except what is common to mankind. And God is faithful; He will not let you be tempted beyond what you can bear. But when you are tempted, He will also provide a way out so that you can endure it.”

Good message, it will help him in one way or another to have clear vision
 
ss hapa wanaume muelewe..kuna mtu hapo juu nilisema mwanaume hutulizwa na mwanamke ila sio mwanamke hutulizwa.. ni had aamue yy.. mie nayasema haya coz nimewah pitia haya hakuna aliyenishawishi nicool down.. nyumba niliamua iwe.. yaan nilikua nawapa sababu zangu wanarudi nyuma ***** zao..nikaja amua kutulia mwenyew coz wanangu walikua wananimis mama yao nikiwa ziarani!haya mambo haya mie nasema tuyaangalie hiv hiv hakuna wa kumsimanga mwanmke kwakweli.. ila ss inategemeana na akili ya mwanamkr... bishoga katisherr!
Ni kweli mkuu. Ndoa haziunganishwi na bolt za tope.

Ila tuliowengi huwa hatupendi ku face reality wa mahusiano. Ni lazima mmoja awe mzigo kwa mwingine, vinginevyo hakuna umoja wenye furaha kamili
 
Kabla hujalala naomba nikushauri kitu/vitu

Ulijua mumeo anafanya mambo yasiyofaa kuchepuka kutokukuhudumia n.k lkn je ulichukua hatua gani? Ulienda kushtaki kwa wazazi? Viongozi wa dini je? Au mlikaa mkazungumza mkakosa suluhu? Au uliamua kurudi kwa ben?

Kabla hujaendelea na maamuzi yako jaribu kumfikiria mtoto wenu sam. Uko tayari alelewe na mama / baba wa kambo wakati wazazi wote mpo hai? Kweli mtoto akose upendo na malezi ya mzazi mmoja kwa sababu tu ya furaha yako?

Kama huyo ben alikucheat na leo willy kakuchit, huoni kama wanaume wote sawa? Je hayo unayoyakimbia kwa willy, kwa ben hutayakuta?

Kumbuka huwez shindana na mwanaume hata siku moja. Simtetei willy hapana ila napenda tu uangalie mbele, angalia maisha ya mwanao ya baadae. Uamuzi wa leo utakuja kuona madhara yake baadae wala sio leo

Pia kumbuka mwanamke ndio anajenga nyumba yake. Ninachokuomba utafute suluhu. Mkae na kusuluhisha hayo mambo yenu naamini yataisha na willy atajirekebisha.

Wakati mwingine unaweza kumlaumu mwanaume kwa anayoyafanya lkn kumbe kalishwa vitu huko anakohangaika na anashindwa kujinasua. Muombee mumeo pia. Muweke mikononi mwa Mungu. Mnenee mema na kumfunika kwa damu ya Yesu kila anapotoka nyumbani asbh.

Inawezekana pesa ndio imemlevya mumeo ukijumlisha na marafiki wasio faa ndio wanampoteza analowea kwny starehe na uzinzi. Jaribu kumsaidia ilinakae kwny mstari na sio kumkimbia. Kumkimbia sio solution. Ni hayo tu sasa
Mmeo ana faidi
 
Nisiposema chochote nitaitesa nafsi yangu.... sikutegemea mkewe wangu angekuja nijibu chochote humu sbb najua hua hatumii jf na sikutegemea things could get this worse and nasty. Kwa yote aliyoyasema sihitaji kujibu chochote either kukuanusha wala kukibali. siko tayari kwa malumbano yoyote na mke wangu. Niawshukuru kwa ushauri wenu na kunipa faraja. Still nampenda sna wife naye anajua hilo. Nitazidi tafuta njia bora zaidi za Kumaliz hili tatizo. asanteni na sorry kwa usumbufu mlio
https://jamii.app/JFUserGuide you. Uzinzi ndio kosa pekee Yesu alihalalisha kuvunja ndoa. Huwezi kumpenda mwanamke ambae hakupendi
 
Pole sana mdogo wangu kwa matatizo ya ndoa, najua how its painful when comes kwenye suala la mahusiano....

Mdogo wangu najua unapenda sana mke wako wa ndoa, tena sana, lakini nikupe mfano mdogo sana, mkeo na mama yake hawakupendi hata kidogo, usiradhimishe ndoa kwa sababu mkeo unapenda, wao wako kundi moja, Mama mkwe, mkeo na jamaa...

Mdogo wangu alishawahi mkuta mke wake na chart za jamaa kwenye simu, akauliza nani huyu, mke alijibu simple answer just a friend, dogo alipiga moyo konde, akavumilia, mke wa dogo alihamishiwa Simiyu kikazi, dogo alipoenda mwanza kikazi mke wake, alikataa asiende Simiyu maana hakuwa na moyo wakukutana nae...

Dogo akarudi dsm, akaja akatueleza kaka zake, tulimwambia huyo sio mke wako, bali mnapotezeana mda tu, dogo alichukua maamuzi yakutengana na mke wake, wana watoto wawili, dogo kabati na watoto wake....

Mke wake hakujua kama yule jamaa anayemtapeli ni mme wa mtu, mwezi wa nane mwaka huu, mwanamke kaanza kujirudisha kwa dogo, dogo moyo ulishazoea, so hana mda na huyo mwanamke tena...

Hoja yangu ya msingi, ukiamua kuvunja ndoa, vunja, najua kuna maumivu mazito utapata, but no way out

Madhara yakukumbatia hiyo ndoa
1. Kupewa sumu ufe uwaache wale raha
2. Unakuja kuua mkeo kwa hasira, uishie jela
3. Utaumwa magonjwa kama Moyo, Pressure, hadi yataleta umauti kwako
4. Utapata ugonjwa wa sonono, pindi ukipiga simu na mkeo asipokee, moja kwa moja unajua analiwa...

Kama hiyo famillia ipo Ilemela na huyo mama ana watoto wanne, watatu wakike na mmoja wakiume, wapo kule Ilemela karibu na shule ya msingi, basi hiyo familia naijua in and out....

Kilala kheri
shukrani Demi. Kwa sasa suluhu iko mikononi mwa wife. Keshokutwa nitakuwa naye dom, hivyo nitafanya mazungumzo naye kirefu physically tuone hatma ikoje. Nitawajuza.
 
Pole sana mdogo wangu kwa matatizo ya ndoa, najua how its painful when comes kwenye suala la mahusiano....

Mdogo wangu najua unapenda sana mke wako wa ndoa, tena sana, lakini nikupe mfano mdogo sana, mkeo na mama yake hawakupendi hata kidogo, usiradhimishe ndoa kwa sababu mkeo unapenda, wao wako kundi moja, Mama mkwe, mkeo na jamaa...

Mdogo wangu alishawahi mkuta mke wake na chart za jamaa kwenye simu, akauliza nani huyu, mke alijibu simple answer just a friend, dogo alipiga moyo konde, akavumilia, mke wa dogo alihamishiwa Simiyu kikazi, dogo alipoenda mwanza kikazi mke wake, alikataa asiende Simiyu maana hakuwa na moyo wakukutana nae...

Dogo akarudi dsm, akaja akatueleza kaka zake, tulimwambia huyo sio mke wako, bali mnapotezeana mda tu, dogo alichukua maamuzi yakutengana na mke wake, wana watoto wawili, dogo kabati na watoto wake....

Mke wake hakujua kama yule jamaa anayemtapeli ni mme wa mtu, mwezi wa nane mwaka huu, mwanamke kaanza kujirudisha kwa dogo, dogo moyo ulishazoea, so hana mda na huyo mwanamke tena...

Hoja yangu ya msingi, ukiamua kuvunja ndoa, vunja, najua kuna maumivu mazito utapata, but no way out

Madhara yakukumbatia hiyo ndoa
1. Kupewa sumu ufe uwaache wale raha
2. Unakuja kuua mkeo kwa hasira, uishie jela
3. Utaumwa magonjwa kama Moyo, Pressure, hadi yataleta umauti kwako
4. Utapata ugonjwa wa sonono, pindi ukipiga simu na mkeo asipokee, moja kwa moja unajua analiwa...

Kama hiyo famillia ipo Ilemela na huyo mama ana watoto wanne, watatu wakike na mmoja wakiume, wapo kule Ilemela karibu na shule ya msingi, basi hiyo familia naijua in and out....

Kilala kheri
🔥🔥🔥
 
Duuh ndoa hizi jamani, yaan kama muvi vile!!

Aisee pole sana kiongozi, hapo wife wako ana revenge tu hakuna jingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom