Sio sawa.Mambo vp wadau.
Naomba mnifahamishe,nimejaribu kutafuta jibu kwa internet na kuuliza baadhi ya watu lakini sijapata jibu...swali langu NI SAWA KUCROSS KUROILER CHICKEN NA KUKU WA KIENYEJI,kwamba hao vifaranga watakaototolewa wayakuwa na uweza wa kulalia mayai kama kenyeji na lia wawe na sifa za kuroiler kama vile kutaga mayai mengi na ni wakubwa wa mwili.
Naombeni majibu wataalamu!
Sawa kabisa .Sio sawa.
Hao tiyari ni Chotara. huwezi cross chotara na kienyeji.
Crosing inahusisha pure breeds mkuu na si Hybrid
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhh ok...lakini wat happens ukicross..!?kutakuwa na shida yoyote???Sio sawa.
Hao tiyari ni Chotara. huwezi cross chotara na kienyeji.
Crosing inahusisha pure breeds mkuu na si Hybrid
Sent using Jamii Forums mobile app
Utapata kitu kisicho kuwa na UboraAhhh ok...lakini wat happens ukicross..!?kutakuwa na shida yoyote???
Kwasababu aim yangu ni kupata kuku mwenye sifa za kuroiler kama kutaga vizuri na kuwa haraka na pia kulalia mayai..!
utapata kuku mwenye sifa za wazazi wote.hili swali lako linajibika kivitendo zaidi,songa mbele,cross hao kuku then tuone unapata nini,hapo ndipo jibu la uhakika litapatikanaAhhh ok...lakini wat happens ukicross..!?kutakuwa na shida yoyote???
Kwasababu aim yangu ni kupata kuku mwenye sifa za kuroiler kama kutaga vizuri na kuwa haraka na pia kulalia mayai..!
Swadakta kabisaSio sawa.
Hao tiyari ni Chotara. huwezi cross chotara na kienyeji.
Crosing inahusisha pure breeds mkuu na si Hybrid
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa,sababu ya mimi kuwa serious kutafuta jibu la hili swali ni kwamba naogopa kucross bila ya kujua hint ya matokeo...kwasababu pia time inaenda so nikipata jibu la uhakika kuwa watakuwa kuku wazuri then nacross direct nusu ya kuku ambao ni nao...na kama itaonyesha kuku wataopatikana baada ga crossing watakuwa hawana sifa nzuri ni bora nisicross kabisa....bora niwe na hao kuroilers na wekienyeji tu pure lines(nataka nifanye kainvestment,staki kupoteza tym kama hiyo 7 months mpaka waanza kutaga,plus mtaji bado mdogo)utapata kuku mwenye sifa za wazazi wote.hili swali lako linajibika kivitendo zaidi,songa mbele,cross hao kuku then tuone unapata nini,hapo ndipo jibu la uhakika litapatikana
Kwa mawazo yako weweKuku wa kienyeji pure atamfanya kuroiler kuwa kuku wa kienyeji pure kwa kuwa tayari anao ukienyeji nusu.