Croatia's new President Hatareeee

unaweza kuta huko Croatia kutomsifia rais kua ni hataree ni kosa la jinai
 
Inabidi President wetu aende akafanye matembezi Croatia fasta kabla hajamaliza muda wake.
 
nimeshachukua visa ya hiko nitapatikana wiki ijayo nitakua na rais katika kikao cha faragha kwa masaa mawili

Na msipoangalia wewe na wenzio lazima mpate tezi dume

"Siku hizi sioni aibu"
 
vp mkulu wa kaya hajamuona kweli? Maana sijaona akienda kufanya ziara huko...

Ninavyomjua huyu mzee tabasamu asingemchelewesha huyo
 
vp mkulu wa kaya hajamuona kweli? Maana sijaona akienda kufanya ziara huko...

Ninavyomjua huyu mzee tabasamu asingemchelewesha huyo

Mikataba yote ingesainishwa bila pingamizi.
 
Huyu kwenye uchaguzi wanaume wengi tu watapiga kura kwa ubongo wa chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…