Croatia yaitandika San Marino 10 - 0

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,749
239,408
Hili ni onyo kwa timu vibonde kutaka kujipima ubavu na wababe .

Hadi mapumziko ubao ulikuwa unasomeka 6 - 0 , shukrani kwa mabao matatu ya Mario Mandzukic .

Onyo - soka ni kazi , huwezi acha , usijaribu utadhalilika .
 
:D:D Kama ni Timu ye2 ingepigwa ngapi apo?

Nakumbuka hata Argentina ishawahi kuipiga goli 12-0 Equador W/C..na equador sio timu ndogo.
 
Hili ni onyo kwa timu vibonde kutaka kujipima ubavu na wababe .

Hadi mapumziko ubao ulikuwa unasomeka 6 - 0 , shukrani kwa mabao matatu ya Mario Mandzukic .

Onyo - soka ni kazi , huwezi acha , usijaribu utadhalilika .
Hiyo timu iliyofungwa ilikuwa aina kipa au walicheza nusu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom