Cristiano Ronaldo: Naondoka Real Madrid

Khan

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
6,588
2,000
cristiano-ronaldo1.jpg
"I'm leaving Real Madrid, it's decided. I won't change my mind." - Cristiano Ronaldo to his Portugal teammates. (Source: MARCA)
Naondoka Real Madrid...Imeamuliwa....sitabadili Uamuzi wangu.......Hayo ni Maneno ya Mchezaji Nyota wa Real Madrid Ya Nchini Hispania Cristiano Ronaldo

Nyota Huyo Anataka kuondoka Real Madrid akidai Kwamba Club yake Haithamini kama Jinsi [HASHTAG]#FCbarca[/HASHTAG] inavyomthamini [HASHTAG]#LeoMessi[/HASHTAG]. Hii imetokana Na Hali ya ya Ronaldo kudaiwa Euro millioni 14.7 ambazo ni sawa na Billion 30 na ushee za kitanzania.
Kama unakumbukumbu nzuri Leo messi naye alishawahi kukutwa na Kashfa ya ulipaji Kodi na Barcelona Pamoja na Mashabiki wake walipiga kampeni iliyoitwa [HASHTAG]#WeAreAllMessi[/HASHTAG] ili kumnusuru mchezaji wao nyota kuingia Matatani na Hali hiyo imemfanya Mchezaji Huyu Bora Mara 4 wa Dunia Kujisikia Vibaya Kuona Club yake Pamoja na Mashabiki kutopiga Kampeni zozote za kumuunga Mkono Hivyo Kutaka Kuchukua uamuzi wa kuondoka klabuni Hapo!
 
Pionaire

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
1,130
2,000
Tukiweka hashtag huku anaona?aende zake

Mkuu Huo ni udaku tu...ambao umekuzwa na mitandao ya habari huko mamtoni but the issue ilikuwa ni Jamaa aliwapa conditions mbili uongozi Wa Real kwamba wakubali wamboroshee mkataba wake ama aondoke majira yajayo ya joto...Hadi kufikia nyakati za mchana Rais Wa Real [HASHTAG]#PEREZ[/HASHTAG] alimwita na kumweleza uongozi umekubali kuuboresha mkataba Wa Jamaa hasa kwenye maswala ya Tax zote iwe juu ya club.
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
16,149
2,000
cristiano-ronaldo1.jpg
"I'm leaving Real Madrid, it's decided. I won't change my mind." - Cristiano Ronaldo to his Portugal teammates. (Source: MARCA)
Naondoka Real Madrid...Imeamuliwa....sitabadili Uamuzi wangu.......Hayo ni Maneno ya Mchezaji Nyota wa Real Madrid Ya Nchini Hispania Cristiano Ronaldo

Nyota Huyo Anataka kuondoka Real Madrid akidai Kwamba Club yake Haithamini kama Jinsi [HASHTAG]#FCbarca[/HASHTAG] inavyomthamini [HASHTAG]#LeoMessi[/HASHTAG]. Hii imetokana Na Hali ya ya Ronaldo kudaiwa Euro millioni 14.7 ambazo ni sawa na Billion 30 na ushee za kitanzania.
Kama unakumbukumbu nzuri Leo messi naye alishawahi kukutwa na Kashfa ya ulipaji Kodi na Barcelona Pamoja na Mashabiki wake walipiga kampeni iliyoitwa [HASHTAG]#WeAreAllMessi[/HASHTAG] ili kumnusuru mchezaji wao nyota kuingia Matatani na Hali hiyo imemfanya Mchezaji Huyu Bora Mara 4 wa Dunia Kujisikia Vibaya Kuona Club yake Pamoja na Mashabiki kutopiga Kampeni zozote za kumuunga Mkono Hivyo Kutaka Kuchukua uamuzi wa kuondoka klabuni Hapo!
366f7598dc30ecc7effc5fb34489805e.jpg
 
pilato93

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
4,530
2,000
Sio kitu rahisi yeye kuamua tu kwenyy mkataba kuna kipengele kinasema Ronaldo bila 1.5 billion $ dollar hangoki pale
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom