najua hilo sasa kama nitapata lawyer wa bure.......hapa hapa bila consultation fee itakuwa very alright!.....ndiyo maana hii ni jamii forums....watu wapo na fani mbali mbali kusaidia wengine....hata ww ukija kwangu ukaniambia nikusaidie file tax for free nitakusaidia...you know what i mean?????.!!!!
Hii ni serious issue baan msilete utani aiseee!.....mbona hivyo lekini?????????????