Criminal Lawyer!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Criminal Lawyer!!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Binti Maringo, Aug 17, 2009.

 1. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hivi humu JF kuna lawyers wanaoshughulika na mambo ya criminal?...kama wapo/yupo please naona uni -M nataka kuuliza swali la kuhusiana na mambo ya criminal kabla sijaharibu...pleaseee!


  very important!.......PM!.......ASAP!

  N:B
  Kwa yule anayejua sheria za kimarekani lakini siyo za kibongobongo!......
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  keshalimwa kibuti.....angalia very..
   
 3. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  fafanua tafadhali sijakuelewa hapo juu!...kaliwa kibuti nani na ndiyo maana yake nini?.
   
 4. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Kwa nini usitafute local lawyer kwenye state yako? Consultation ina range kati ya $75 - $150. Pia kama una qualify kuna lawyers wanao jitolea bure.
   
 5. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  najua hilo sasa kama nitapata lawyer wa bure.......hapa hapa bila consultation fee itakuwa very alright!.....ndiyo maana hii ni jamii forums....watu wapo na fani mbali mbali kusaidia wengine....hata ww ukija kwangu ukaniambia nikusaidie file tax for free nitakusaidia...you know what i mean?????.!!!!

  Hii ni serious issue baan msilete utani aiseee!.....mbona hivyo lekini?????????????
   
 6. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kelly,

  nina maswali mawili, mosi huko State gani [ as you are well aware kwamba sheria za makosa ya jinai zipo za State na nyingine ziko kwenye Federal level]. Just PM me and I will take it from there.

  Shadow.
   
Loading...