Hebu weka details zaidi kabla hatujakupigia simu mkuu. Pia ukiweka picha ingependeza zaidi. Kuna maswali ambayo unaweza kupunguza usumbufu ukayajibu hadharani. Au hujiamini sana mkuu?
cresta gx 100,
nyeupe, km laki na 20,
sio elfu 12 sor 4that.
Engene vvti,
dashbord digital,
iliagizwa from jp,
imetumika bongo one yr.
Haijawahkugongwa,
nauza ili ninunue gx 110.
7m unnegotiable.
Picha am stil poor on IT.
Sor 4dat