The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,897
- 19,080
Credibility ya TCRA iko mashakani naitilia mashaka kama TBS ambao ndio wasimamizi wa ubora wa wa vitu hasa kwa mtumiaji hususani kwenye hii ishu ya simu feki.
TCRA kwa kujali usalama wa mtumiaji/ mlaji hawakutakiwa kuruhusu vifaa vya elektroniki hasa simu feki kua kwenye data base yao.
Nimeshangaa sana kua simu mfano za Tecno ambazo hazijulikani duniani kote na haziko hata kwenye viwango vya kimataifa na hazina hata nembo ya ubora wa kimataifa zinatambulika kwenye data base yao.
Kwamba tcra wao wanajua ubora wa simu kama za tecno na ni nzuri kwa mtumiaji wakati simu hazijulikani zinatoka wapi na zinatengenezwa na kampuni gani ya nchi gani, kampuni isiyo na anuani wala jengo la ofisi itengeneze simu ituletee Tanzania TBS Nna mwenzake TCRA waseme ni simu orijino.
Huo uorijino wametumia nini kuutambua au kuujaribu. Je TCRA wamehongwa na tecno na simu nyingine zisizojulikana zinatoka wapi? Kwa mwendo huu ni vitu vingapi TBS na authoritie nyingine wanaruhusu zitumike Tanzania wakati hata watengenezaji hawajulikani wanaishi wapi?
Magu fukuza kazi watu wote Tcra na Tbs.