[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]Huku yanatengenezewa makatambuga (ndala za matairi).[emoji28]
Yanavutia, kuna mahali niliona wamezipaka rangi then wakayaweka kwenye bustani ya maua. It was amazing.
Sana.Kwenye bustan yanaoendezaView attachment 1065126View attachment 1065131View attachment 1065137View attachment 1065138
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunavaa tu rayoo mwanzo mwisho. Hakuna matata.huku tunatengenezea sendeu kwan nn bwanaa ??
Bora nyie. Huku kwetu tunachomea wezi wa kuku hasa msimu huu wa uchumi wa viwanda wamekuwa wengi sana mpaka hayatoshi.huku tunatengenezea sendeu kwan nn bwanaa ??
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bora nyie. Huku kwetu tunachomea wezi wa kuku hasa msimu huu wa uchumi wa viwanda wamekuwa wengi sana mpaka hayatoshi.