For fun ,najaribu kutengeneza website kutumia html.
Nataka iwe na page say 5!
Code muhimu za html nimesoma online na baadhi za CSS.
Licha ya kusoma about a href code,sijajua vipi his webpages nitazilink kufanya website.
Je "a href" itakuwa sehemu gani ya page ya kwanza ili kulink page ya pili na kadhalika?