CRDB wakanusha Tawi la CRDB CHATO kufungwa na kugeuzwa Club

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,220
12,940
Kupitia ukurasa wake wa Instagram benk ya CRDB imekanusha juu ya uvumi kuwa Tawi lake la CRDB wilaya ya Chato limefungwa na kugeuzwa Club!

CRDB imefafanua kuwa si ofisi zao za zaman wala mpya na katu hawawezi kufanya hivyo.



Screenshot_20211016-165335_Instagram.jpg
Screenshot_20211016-165342_Instagram.jpg
 
Huu uzi hauwezi kuwa na comments nyingi mana haujawafurahisha chadema.
 
hawa jamaa ni watu wa ajabu sana.

hasa huyo shangazi yao kama hachomi mmea sijui.
 
Back
Top Bottom