crdb simbanking menu

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Jamani naomba msaada kuhusu menu ya crdb najaribu kuingiza namba hizi ili nipate menu ya crdb lkn majibu yanayokuja ni tofauti na mahitaji yangu nikiingiza *150*03# ili nipate menu inaleta maelezo haya sorry you do not have enough funds to complete your transaction) sasa tatizo ninini?
 

ili uweze kufungua hiyo menu lazima uwe na salio kidogo kwenye simu yako la sivyo utapata ujumbe huo, jaribu kuongeza japo mia mbili ivi afu ufungue tena utaona kama utapata same message
 
Ujumbe huo ni kwa wale wateja wanaotumia mtandao wa vodacom ambao hawana salio la vocha kwenye simu hivyo wanatakiwa wawe na salio la vocha kidogo ili waweze kuipata menu hyo. Kwa wanaotumia tigo, airtel na zantel wenyewe hawachajiwi chochote kwa upande wa salio la vocha.....
 
Mkuu weka vocha bana ujue hata ukiingiza ATM kadi kwa machine lazima ukatwe so weka kasalalio!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…