CRDB semeni ukweli

Kama Mikopo mmesitisha tangazeni acheni kuwadanganya Wateja wenu,Mara tar15 ooh mwezi ujao mwanzoni!semeni kweli

Mkuu sio CRDB pekee, Benki nyingi zimesitisha mkopo kwasasa lakini hawawezi kusema, kwani ni agizo toka kuleeee!!!! Benki pekee inayoweza kukupa mkopo kabla hawajaacha kwasasa ni NMB. Mengine sina taarifa, lkn kwa CRDB usiendelee kupoteza muda, kwani kwasasa hawatoi tena mikopo.
 
Nenda Postal Bank hawana longolongo. Wiki 2 tu pesa umepata
 
Nimesoma watu wengi wanasema lazima nikope?kuna watu humu wanafikiri tuko sawa wote ni kula kulala,tunakopa pesa za kufanyia kazi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…