CRDB semeni ukweli

CRDB semeni ukweli

Wanazingua sana hawa jamaaa
Hawatoi majibu yakueleweka.
 
Kwani lazima mukope crdb? Achaneni nao mwende kwingine..wenyewe watawatafuta
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Kama Mikopo mmesitisha tangazeni acheni kuwadanganya Wateja wenu,Mara tar15 ooh mwezi ujao mwanzoni!semeni kweli
Hata mimi nimesita ku process mkopo wangu. Maana nenda rudi wizarani imenichosha. Nasubiri hali itakapotulia. Nahisi wanasubiri waraka wa mishahara utoke,ingawa hawaongei hivyo. Nime offset mipango yangu ya kulima mpunga wa kiangazi nisubiri tu mpunga wa masika.
 
Naona wanazidi kufungua ...vibranch kila kichochoro
 
Ila hawa CRDB walishasemaga kuwa hawana fedha uchumi ume shake..
 
Kama ww ni mfanyakazi wa Serikali utakuwa hunasifa ya kukopesheka kwenye kipindi hiki cha mpito. Sababu timua timua inayoendelea nchini inawezakuathiri ukusanyaji wa hela zao ambazo ikiwa watawakopesha kisha ukatimuliwa kazi kipindi kifupi kabla hujamaliza mkopo wako.
 
Crdb ilikuwa inaendeshwa na pesa za ufisadi.Maguful ameziba mianya ya ufisadi imefilisika
 
Crdb ilikuwa inaendeshwa na pesa za ufisadi.Maguful ameziba mianya ya ufisadi imefilisika
Wewe ni mjinga kuliko wajinga wote na hapo ulipo hata kidato cha nne hujafika ndo maana unawaza kwa kutumia makalio
 
Wewe ni mjinga kuliko wajinga wote na hapo ulipo hata kidato cha nne hujafika ndo maana unawaza kwa kutumia makalio
Crdb mafisadi wote wamejificha huko madili yao ya ufisadi wamevunjwa benki imefilisika na vile vibranch uchwara inavyovifungua kila siku vitakufa vyote mafisadi hawana tena nafasi nchi hii
 
Crdb mafisadi wote wamejificha huko madili yao ya ufisadi wamevunjwa benki imefilisika na vile vibranch uchwara inavyovifungua kila siku vitakufa vyote mafisadi hawana tena nafasi nchi hii
Naona kama umetumwa hv na wale jamaaa kuichafua benk pendwa Tz ya Crdb
 
Kama Mikopo mmesitisha tangazeni acheni kuwadanganya Wateja wenu,Mara tar15 ooh mwezi ujao mwanzoni!semeni kweli
Kwani lazima ukope. Au imeandikwa lzm ukopeshwe. Sasa hivi wanaangalia background yako sio kama zamani easy come easy go
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom