CRDB muwe makini kwenye mikopo

Yooote ningekubali ila swali, hvi Unapewa mkopo kwanza ndo HR ndo anaenda kuidhinisha makato au anaidhinisha makato ndo unapewa mkopo?
 
Hizi bank kwani zimebadili taratibu ya mikopo ya kiofisi?

Hii ngumu sana kutokea maelezo yako yanatia shaka kwa zaidi ya asilimia zote
 
I concur with you. CRDB wako makini. Kuna shida kidogo NMB.
 
Sio kweli!
Zile fomu kuna sehemu ambayo lazima watie sahihi waweka sahihi (signatories) wa taasisi husika.
Kama mleta uzi ni mume wako amekudanganya kuwa amelizwa.
Atakuwa amemkopea bi mdogo wanataka kujenga.
Hakuna kitu kama hicho.
Pia lazima kuwe na barua ya mwajiri ya kuthibitisha kuhusu mwombaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si useme tu kwamba ni wewe acha kumsingizia jamaa yako
 
Mleta Uzi ni mke wa mdanganyaji. Mme kapata mkopo wooote kapeleka anakokujua au kaonga au kanywa pombe alafu masikini kaenda kumdanganya mke wake! Mke shtuka! Mmeo kakudanganya mabenki yako makini sana hayawezi kumpa mkopo mtu ambaye siyo!
 
Umetisha jombaa...
 
Nina wasi wasi na huyu mwamba(Hr) anataka kumpiga huyo jamaa yake.ki kawaida haiwezekani.
 
Bank statement inahitajika endapo mshahara wa mwombaji hupitii benk anayokopea.
 
huko sawa kabisa mpaka HR apitie lawson ndio asaini mkopo
 
Kwanini awe mwoga kwa jambo asilohusika sanasana yeye alitakiwa kuwafungulia kesi benki kwa utapeli na kuwadai fidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…