CRDB Mmeniweza. Nahama benki

Niko mbeya toka ijumaa ni usumbufu,atm zao zpo slow mara hakuna hela yani ujinga m2pu
 
wana huduma mbovu sana awa ni kama kampuni flan la simu ukikosea tu kununua umeme wa Luku umeliwa hela yako utadai mwaka hawakupi muwe waangalifu na matapeli

Yalinipata ndiyo maana Mara nyingi natumia mpesa
 
Nilifunga account zangu CRDB na NBC nikaenda FNB.

Hawa ni afadhali kuliko hizi benki uchwara.
 
Nilifunga account zangu CRDB na NBC nikaenda FNB.

Hawa ni afadhali kuliko hizi benki uchwara.

Mi naplan pia kufanya hivyo, yani crdb wanakera sana kila nikisafiri nikirudi nakuta acc iko dormant wakati wala hawana utaratibu mzuri nje ya nchi, sasa nataka nitoe hela zangu niwaachie acc yao
 
Saa hizi wanaforce tutumie simbank kama lazima huduma za ndani wamepandisha bei,atm hawaweki pesa!!tabu sana hii bank,ishajiona mungu mtu kama tigo na voda
 
Mm kwanza Crdb situmii atm kutoa hela naenda kwa dirisha pole mkuu hao ndo wezi wakileo
 
Mi naplan pia kufanya hivyo, yani crdb wanakera sana kila nikisafiri nikirudi nakuta acc iko dormant wakati wala hawana utaratibu mzuri nje ya nchi, sasa nataka nitoe hela zangu niwaachie acc yao


Taarifa zote kuhusu FNB zipo kwenye tovuti yao.
Unawapigia simu wanakupa vigezo vya kufungulia account.
 

Sio ATM tu, mm nilijiunga na E- banking kunavitu nilikuwa nalipia kwanjia ya PayPal jamaa nilipo tuma zile hela wameshikilia kiasi kilicho baki kwa mda sana, nikiuliza wanasema tutapiga simu mpaka baadae wakasema nadaiwa tena wakati mm najua kuna Salio Lina baki.
Nilikata tamaa kwakweli Bahati nzuri ilikuja kukaa vzr
 
mi ushaurI wanG kwa watejA wa hizI benki ni kwamba kama ww ni mteja wa either nmb au crdb ,hatakamA hyo benki haina huduma kwa kpnd hko ,cyo vzur kwenda kufanya miamala kwenye benk nyngne mbali na hyo yako kwan matokeo yake ndo kama hvyo,na ni ngumu kukuxaidia kwani wanajua ww cyo mteja wao kwahyo tuwe makn sis wenyew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…