CRDB Mlimani leo foleni haiendi kabisa customer care, teller wapo wawili tu

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
2,607
3,400
Siku kama ya leo jumatatu toka saa 4:00 mpaka muda huu folen haiendi. Namba zinaitwa za customer care, teller wapo wawili tu.

Kwanin mnakwamisha juhudi za Abdulmajid Nsekela. Sio vizuri bwana mtu unaingia mchana unatoka usiku.sio sawa. Mpaka.muda huu jion teller hawasogei kabisa.

Na wapo wawili tu.
 
Madalali wa magari Ngombaru (wasiojua kusoma wala kuandika) ndo wanatumia mara nyingi Hilo Tawi. So foleni saana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom