Mliman CRDB Ni takataka hovyo kabisa kwanza wanadharau customer care mbovu, pale mliman kama leo ijumaa huwez kuta wafanyakazi kabisa, tawi lingine lenye huduma mbovu ni pale lumumba ushirika tower hawajali wateja kabisa.
Sahv huwa naenda tawi la VIJANA Lumumba wana huduma nzuri sana mpaka unajiuliza kwani hii sio CRDB?
Good news nimehamia NMB sahivi