CRDB mbona hamuweki hela na nilishatimiza msharti ya kuewa mkopo

malinyi

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
223
317
Kwa kweli CRDB mnachotufanyia sicho. Kwa Nini mnatusumbua hivi?
Mtu unajaza mkopo unatimiza masharti yote lakini hamuweki hela.Imagine inafikia mpaka mnaanza kukata makato bado hamjawwka hela.Kama mmefilisika di mseme ukweli na msimamishe huduma ya mikopo kuliko kusababisha stress kiwango hili?

Halafu jana watu walianzisha thread kulakamikia tatizo hili thread zilidumu sekunde kadhaa zikawa deleted kabisa

Why mbona threads nyingi nyingine hazina maana kabisa hamziondoi

Please acheni watu watoe malakamiko yao ya moyoni
 
Usikute jiwe alishakausha kibubu kwa utemi wake
 
Dk. Charles Kimei alishaondoka na ile CRDB yake iliyokuwa 'imechangamka' na ambayo ilikuwa 'inachangamsha' pia Mifuko ya Wateja wake tofauti na hii ya sasa.
 
Huyu dogo ambaye anatumia jina la gwiji wa uendeshaji NBC mzee Nsekela anaponzwa na siasa chafu za ccm chini ya jiwe.
 
Haka kamchezo ka kupend kufuta Thread ambazo zinatoa madokezo kuhusu uharamia JamiiForums imakuwa na tabia ya kupenda kuzifuta sana. It makes me wonder.......
Naona kuna mgeni ameingia hapo nadhani ni kada wa ccm
 
Kwa kweli CRDB mnachotufanyia sicho. Kwa Nini mnatusumbua hivi?
Mtu unajaza mkopo unatimiza masharti yote lakini hamuweki hela.Imagine inafikia mpaka mnaanza kukata makato bado hamjawwka hela.Kama mmefilisika di mseme ukweli na msimamishe huduma ya mikopo kuliko kusababisha stress kiwango hili?

Halafu jana watu walianzisha thread kulakamikia tatizo hili thread zilidumu sekunde kadhaa zikawa deleted kabisa

Why mbona threads nyingi nyingine hazina maana kabisa hamziondoi

Please acheni watu watoe malakamiko yao ya moyoni
Kila siku watu wanalalamika kwanini msisubiri waliotangulia wawambie mambo yamekaa stable? Mambo yalikua mazito hata uchumi wa nchi uliporomoka mabank nayo ndio huwa wahanga wa kwanza tuvumilie tukipite hichi kipindi kigumu.
 
Back
Top Bottom