CRDB mbona hamuweki hela na nilishatimiza msharti ya kuewa mkopo

Mkuu,
Kwa Unaanzaje anzaje kuwapelekea rejesho la makato ya mkopo ambao hata hujapewa bado?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada anaongelea mikopo ya wafanyakazi na ambayo hukatwa kupitia mshahara. Kimsingi anacho kiongelea kina ukweli.

Hao watu ni wababaishaji sana. Wanakuahidi ndani ya masaa 48 mkopo utakuwa tayari, lakini mwisho wa siku utashangaa wiki 3 mpaka mwezi unakatika! Ukiwauliza wanakuambia mfumo sijui umefanya nini!

Na watumishi wengi wa umma hupenda kukopa huko CRDB, kwa sababu ndiyo benk pekee inayotoa hela nyingi ukilinganisha na benki nyingine nchini.
 
Huyu dogo ambaye anatumia jina la gwiji wa uendeshaji NBC mzee Nsekela anaponzwa na siasa chafu za ccm chini ya jiwe.
Benki nyingi zikiwa chini ya 'Wachagga' hasa Kiusimamizi ( Kiuongozi ) huwa zinakuwa na 'Ufanisi' japo Kihistoria ni 'Wapigaji' wazuri tu, ila uzuri Wao ni kwamba 'Wakipiga' na hata Watu wa chini ( wa Kawaida ) huwa 'Wanawaneemesha' pia Kipesa na Maisha yanaenda.
 
Mkuu,
Kwa Unaanzaje anzaje kuwapelekea rejesho la makato ya mkopo ambao hata hujapewa bado?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada anaongelea mikopo ya wafanyakazi na ambayo hukatwa kupitia mshahara. Kimsingi anacho kiongelea kina ukweli.

Hao watu ni wababaishaji sana. Wanakuahidi ndani ya masaa 48 mkopo utakuwa tayari, lakini mwisho wa siku utashangaa wiki 3 mpaka mwezi unakatika! Ukiwauliza wanakuambia mfumo sijui umefanya nini!

Na watumishi wengi wa umma hupenda kukopa huko CRDB, kwa sababu ndiyo benk pekee inayotoa hela nyingi ukilinganisha na benki nyingine nchini.
 
Kwa kweli CRDB mnachotufanyia sicho. Kwa Nini mnatusumbua hivi?
Mtu unajaza mkopo unatimiza masharti yote lakini hamuweki hela.Imagine inafikia mpaka mnaanza kukata makato bado hamjawwka hela.Kama mmefilisika di mseme ukweli na msimamishe huduma ya mikopo kuliko kusababisha stress kiwango hili?

Halafu jana watu walianzisha thread kulakamikia tatizo hili thread zilidumu sekunde kadhaa zikawa deleted kabisa

Why mbona threads nyingi nyingine hazina maana kabisa hamziondoi

Please acheni watu watoe malakamiko yao ya moyoni
Nenda Equity Bank sasa kwawatumishi riba ni asilimia 14 reducing na unalipua kwa miezi 96 ndani ya chini ya wiki mbili unachukua pesa yako bila janja janja
 
Je wananunua mikopo kutoka crdb?
 
Kwa kweli CRDB mnachotufanyia sicho. Kwa Nini mnatusumbua hivi?
Mtu unajaza mkopo unatimiza masharti yote lakini hamuweki hela.Imagine inafikia mpaka mnaanza kukata makato bado hamjawwka hela.Kama mmefilisika di mseme ukweli na msimamishe huduma ya mikopo kuliko kusababisha stress kiwango hili?

Halafu jana watu walianzisha thread kulakamikia tatizo hili thread zilidumu sekunde kadhaa zikawa deleted kabisa

Why mbona threads nyingi nyingine hazina maana kabisa hamziondoi

Please acheni watu watoe malakamiko yao ya moyoni
Pole mkuu ulijaribu kuwasiliana nao wakasemaje?
 
Benki nyingi zikiwa chini ya 'Wachagga' hasa Kiusimamizi ( Kiuongozi ) huwa zinakuwa na 'Ufanisi' japo Kihistoria ni 'Wapigaji' wazuri tu, ila uzuri Wao ni kwamba 'Wakipiga' na hata Watu wa chini ( wa Kawaida ) huwa 'Wanawaneemesha' pia Kipesa na Maisha yanaenda.
Unaakili sana wewe
 
Kimei atakumbukwa sana ktk juhudi zake za kuiendeleza crdb kutoka benki ya kuwasubiria wateja hadi kuwa benki inayo wavutia wateja
 
Ile party ya hamornize na kajala ya uzinduzi wa apulikesheini itakuwa imeacha hasara
 
Back
Top Bottom