The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
Habari za mchana wanaJf
Leo kwenye saa 4 asubuh,nilikwenda benki ya Crdb tawi la mbezi Luis kushughulikia miamala kadhaa ya kibenki.
Nikaanzia mapokezi pale ambapo pamoja na kuwa na PC tatu za customer care,alikuwepo binti mmoja tu akitoa huduma.
Kilichofanya nilete uzi huu ni kuwa ,that girl is too dumb.Am sorry to say that.Yaani ishu ndogo tu ya kumsikiliza mteja, kutambua hitaj la Mteja na kumwelekeza sehemu sahii inamchukua more than 1 hour.
Customer care anapaswa kuwa mtu smart na mwenye uelewa mkubwa wa ishu za kampuni husika.Msituwekee wenye vicertificate ama vidiploma vya pichu mapokezi/reception.Mnajiharihia hadi brand zenu kwa upuuz huo.
Nililotaka Fanya benki nimeghair kwa Leo for sure .Kwan sidhan kama ni busara uniweke nimesimama customer care zaid ya saa moja kwa ishu ya kutatuliwa ndani ya 10 minutes. Halafu wakenya wakija chukua ajira bongo tunaanza kulialia bila mpango.Tubadilike jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app