jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,988
- 1,437
Mnichukie au msinichukie huduma za kibank crdb kwa sasa ni mbovu kuliko hata nmb.miaka ya nyuma nakumbuka crdb ndio ilikuwa ikiongoza kwa huduma nzuri kwa wateja..na lugha safi kwa wateja huku nmb ikidharaulika kwa sasa nikinyume chake..nimepita branch nyingi kwa huduma za kibank kati ya crdb na nmb lakini naona kwa sasa nmb wananafuu..crdb hukiwa na shida wahudumu wanajivuta wanafanya kazi kwa kujisika majibu yao hovyo..ukipiga sim kitengo cha huduma kwa wateja nacho tabu tu.
Huwe na shida sasa ya kubadirisha kadi au kuomba huduma ya internet banking ndio tabu sasa alafu hukute inagoma wanavyokuzungusha kana kwamba unakwenda kumuona mgonjwa hospital au zile pesa si zako.
Upande wa mikopo nako tabu tena wanataka rushwa kana kwamba zile pesa hauzirudishi au wanakupa bure.