Dan Geoff P
Member
- Jan 16, 2012
- 86
- 100
Naomba nyie wakaka na wadada wa Huduma kwa Wateja crdb mjirekebishe kauli zenu. Mnapigiwa simu mtoe msaada lakini majibu yenu yanakuwa ni ya ajabu na ya kukatisha tamaa. Mbaya zaidi mnajibu majibu ya mkato na kwa sauti za nyodo sana. Nimepiga simu muda mfupi kuelezea tatizo langu lakini mdada aliyepokea simu amekuwa akijibu majibu ambayo hayaonyeshi ile customer care tunayoitarajia na mwisho akakata simu kabla sijamaliza Maelezo ya tatizo nililolipata.
Tunaomba uongozi muwafanyie training hao watu kabla ya kuwapa kazi. Kuna watu wengi mtaani wa nahitaji kazi hivyo ukipata kazi itendee hali na uwajibike ipasavyo.
Tunaomba uongozi muwafanyie training hao watu kabla ya kuwapa kazi. Kuna watu wengi mtaani wa nahitaji kazi hivyo ukipata kazi itendee hali na uwajibike ipasavyo.