Ah wee unaniangusha mzee mwezangu...au wee yanga 🤣🤣🤣🤣 Sii caf champions league robo final inaanza leo usiku saa tano Siwezi kuwa yanga,japo simba nao nimeshaachana nae kitambo sana Sasa mzee mwenzangu CAF unaibetiaje?hakuna nachojua huko
www.jamiiforums.com