Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Trump anatekeleza kile ambacho Barack Obama alikianzisha, lkn Dunia nzima inamuandama D.Trump, na kumuacha miguu mirefu akila bata caribbean!
Donald Trump hakuitengeneza orodha ya hizo nchi 7 zilizopigwa marufuku kuingia USA, bali aliikuta orodha ktk kwa Utawala wa Obama na akaamua kuitekeleza lkn anaandamwa Trump, na Miguu mirefu anaachwa, kweli hii Dunia ina full of idiots!
Jamaa kakinukisha halafu kasepa zake carribean dadeki!