Cracked WhatsApp

Cracked WhatsApp

NileSat

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2015
Posts
340
Reaction score
182
Nimekuwa mhanga wa OGwhatsapp tangu ile version ya mwanzo ilopo expire, niliendelea kuitumia huku nikirudisha tarehe nyuma baadaye nkafuta ile ni update cranked app kama io nimedownload fresh na inafunguka na namba naingiza then kila nikijaribu kuendelea inaleta ivi
uploadfromtaptalk1430642227864.png
Nilidhani mpaka nifate ili procedure ya kufuta kwanza original whatsapp then ni rename afu ni instal izi cranked but imegoma nimejaribu kwa SAwhatsapp na NAwhatsapp mambo ni izo izo msaaada wana Tech wenzangu
 
Tofauti ya hizo version ni ipi?
  • Hizi ni "Modified" au cracked version ya official whatsapp
  • Hizi zimeondoa restriction amabazo zipo kwenye official Whatsapp; Mfano [a] Uwezo wa kutuma file kubwa zaidi ya kiwango kinachoruhusiwa na official whatsapp , [b] Unaweza kutumia Namba za simu zaidi ya moja kwa simu moja - mfano WhatsFapp - Waweza tumia hadi namba 3, Na whatsMapp unaweza tumia namba mbili tofauti, [c] Waweza kuifanyia customization kwa kadri utakavyo kama kubadili fonts , [d] Wengine wataongezea
 
Asante Mkuu nilikua sifahamu hili
 
kama uko na interest na kutumia WhatsApp tatu kwa device moja nitafute lakin pia cm yako iwe kidogo ina uwezo ...niliweka uzi hapa but naona swala lilikuwa gumu watu kuelewa nimetenga muda kukupa maelezo ya kina na pia utoaji wa number za nje unaendelea nicheki WhatsApp +15164000528
 
Wazup tatu kwenya simu ya line moja? fafanua zaidi

What is the main advantage using this option compared to a singe one.
 
simu moja then apps tatu za whatsapp unaweka harafu unatumia namba tatu differ ktk cm moja
 
kama uko na interest na kutumia WhatsApp tatu kwa device moja nitafute lakin pia cm yako iwe kidogo ina uwezo ...niliweka uzi hapa but naona swala lilikuwa gumu watu kuelewa nimetenga muda kukupa maelezo ya kina na pia utoaji wa number za nje unaendelea nicheki WhatsApp +15164000528

Khaa!!!! namba tatu zote hizo za nini
 
Back
Top Bottom