vp wadau wengine kina chief mkwawa na mossad...... is this real maana yale ma-process mengi marefu wengine tunaogopa kuyajaribu yasije kubumisha cim na hatuna utaalam mkubwa wa IT kacim kenyewe nimefight a whole yr kukapata nataka sana ku unlock s3 nipate version y4.3 ila moyo mzito!!!