Unapozungumzia soccer/mpira wa miguu bila kujali watu weupe wanatoa maoni gani, CR7 atabaki kuwa bora zaidi ya wote kwenye hiki kizazi chake. Na kwangu mimi niliona ubora wake wote alipokuwa Man Utd, haya yanayoendelea niliyatazamia yatokee!
Nina game chache ambazo zilinifanya nione jamaa ni ONE MAN ARMY.
1. Game ya UEFA kati ya Man utd na Intermilan ikiwa chini ya Mourhinho ni mojawapo ya game aliyoonesha uwezo wa juu sana.
2. Game ya Euro fainali n.k
[HASHTAG]#teampendavizuri[/HASHTAG]