CPU still running while desktop computer already shut down

nahdy

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2014
Posts
228
Reaction score
67
Mwenye ufahamu shida ya hii Lenovo think centre atujuze. Nimejaribu idea zote nilizo pata online lakini bado shida ipo.

Mambo niliyojaribu :
- change power supply
- reset cmos
- upgrade/degrade Intel management interface
- hibernate off
- fast startup off
+++++

Shukrani.
 
Disconnect cable zote alafu iache battery mpaka iishe charge..ikisha isha charge toa battery alafu bonyeza iyo button ya power kama mara tano..rudisha battery icharge uanze upya
 
Kamwene shukran

This is a desktop.
 
Ah sorry,umefanya upgraded ya kitu chochote hasa kwenye window system..
Kwenye control panel..check setting za power option zipoje ?
Unavyosema haizimi inabaki kwenye sleep state au ?
 
Ah sorry,umefanya upgraded ya kitu chochote hasa kwenye window system..
Kwenye control panel..check setting za power option zipoje ?
Unavyosema haizimi inabaki kwenye sleep state au ?
No addition or changes.

CPU light is just on and fan moving, if I disconnect CPU fan, CPU light is just on. I HV to press power button long press for it to shut down.
Have tried changing power options also but in vain.
 
Hivi unatumia desktop au laptop?
Kama ni laptop, option ya ku-press amd hold down power button kwa sek kama 15 umejaribu?
Kuna uwezekano power setting umeiset kuwa unapoibonyeza iwe ina sleep labda..
Check power settings zako.
 
Funua hiyo system unit, washa computer halafu zima. Ukishazima pima zile waya za cpu power (Yellow, Black, kama bado zina umeme). Kama hiyo cpu yako haina zile waya za cpu power, pima output ya powersupply (Yellow, black) kama bado zina umeme.

Ondoa Harware yoyote uliyoongeza kama bile PCI card RAM N.K
 
Hivi unatumia desktop au laptop?
Kama ni laptop, option ya ku-press amd hold down power button kwa sek kama 15 umejaribu?
Kuna uwezekano power setting umeiset kuwa unapoibonyeza iwe ina sleep labda..
Check power settings zako.
Desktop
Nimejaribu kueka off fast startup,sleep,hibernate both thru windows na hata cmd
 
Ntajaribu hii idea with an electrician.

I also changed power supply.

Option nyengine nashuku ni windows 10 bcoz it had win 7 b4 and had no issue, issue started when I installed win 10.

Rgds
 
Desktop
Nimejaribu kueka off fast startup,sleep,hibernate both thru windows na hata cmd
Ume-update windows yako? Sio mara nyingi ila windows 10 mida fulanî kama haiko up to date huwa inazinguazingua. Pia ume-activate windows?
Kama windows 7 ilikuwa fresh basi ni wazi ishu ni windows 10.
 
Ume-update windows yako? Sio mara nyingi ila windows 10 mida fulanî kama haiko up to date huwa inazinguazingua. Pia ume-activate windows?
Kama windows 7 ilikuwa fresh basi ni wazi ishu ni windows 10.
Yes everything is up-to-date, hata nimeona pahali wanasema no downgrade Intel management interface to 9.5 from 11 can solve the problem but sijapata 9.5
 
Lenovo nyingi (Laptop) zina better mbili, internal inakaa ndani iko attached na mother board pamoja na external ambayo mara nyingi ndo inakuwa nyuma ya laptop.

So jaribu ku-disconnect battery zote mbili
 
No addition or changes.

CPU light is just on and fan moving, if I disconnect CPU fan, CPU light is just on. I HV to press power button long press for it to shut down.
Have tried changing power options also but in vain.

Mkuu kumbe uli upgrade from window 7 to 10, mbona ulisema hujafanya changes zozote??
Sasa hapo fanya ku downgrade hiyo windows 10,baada ya hapo check requirements kama computer yako inakidhi vigezo vya kupgrade to windows 10..
Kwanza kabisa hakikisha una RAM ya kuanzja 1GB kwa 32-bit na RAM ya 2GB for 64-bit
Pili hard disk space iwe 16GB for 32-bit operating system na 32GB for 64-bit operating system
Tatu graphic card iwe kuanzia Direct x9 or later with WDDM 1.0 driver
Nne hakikisha ume update drivers zako zote.

Computer yako ikikidhi hivyo vigezo fanya upgrade
 
Lenovo nyingi (Laptop) zina better mbili, internal inakaa ndani iko attached na mother board pamoja na external ambayo mara nyingi ndo inakuwa nyuma ya laptop.

So jaribu ku-disconnect battery zote mbili
Mine is a desktop
 
Yes I meant hardware changes.

It's a good PC, actually iwanted to use it as a blip server as I am upgrading the server from 2012 to 2019.
 
Sasa hapo hapakuwa na umuhimu wa kufanya troubleshooting ya Hardware wakati tatizo limekuja baada ya software upgrade. Ungefanya rollback kwanza. Au hata weka HDD nyingine ufanye fresh installation ya windows.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…