JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,309
- 5,464
Taasisi ya Kutetea Waandishi wa Habari (CPJ) imesema Waandishi 22 waliopoteza maisha kutokana na vita inaendelea iliyoanza Oktoba 7, 2023, Raia wa Palestina ni 18, Israel (3) na Lebanon (1).
CPJ inahusisha vifo 15 kati ya hivyo na mashambulizi ya anga ya Israel na mawili yalitokana na mashambulizi ya Hamas, Waandishi wanane wamejeruhiwa na watatu hawajulikani walipo au wamezuiliwa.
Taarifa ya taasisi hiyo imeeleza "CPJ inasisitiza Waandishi wa Habari ni raia wanaofanya kazi muhimu wakati wa machafuko na hawapaswi kulengwa na pande zinazopigana."
######
At least 22 journalists killed, says campaign group
At least 22 journalists have been killed since fighting between Israel and Hamas broke out on 7 October, according to the Committee to Protect Journalists.
These include 18 Palestinians, three Israelis and one Lebanese, the committee says in a statement.
The CPJ attributes 15 of these deaths to Israeli airstrikes and two to Hamas attacks in southern Israel. Eight journalists have been reported injured and three are either missing or have been detained, it adds.
"CPJ emphasises that journalists are civilians doing important work during times of crisis and must not be targeted by warring parties," a spokesperson says.
Source: BBC