CPA review classes Dar es salaam

CPA review classes Dar es salaam

radicals

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
4,411
Reaction score
6,484
Habari za Jumapili wanajamii, mimi ni mhitimu wa bachelor degree ya accounting nataka nijiunge na tuition center yani cpa review classes hapa DAR ES SALAAM ila sijajua ni mahali gani pako vizuri kielimu na kigharama pia, HASA MASOMO mawili FINANCIAL ACCOUNTING na PUBLIC FINANCE AND TAXATION. Kwa yeyote anaefahamu naomba aniambie ili nianze mapema maana natarajia kufanya mtihani mwezi wa 11. karibuni wadau wa elimu. NATANGULIZA SHUKURANI
 
Nzuri Mkuu, karibu kwenye hii field. Walimu wazuri wa hayo masomo na wazoefu ni Leonce au maarufu Babito yupo pale Mnazi Mmoja Primary school au Uende Ilala Boma Shule ya msingi kwa Rashid hao wote ni walimu wazuri utachagua mwenyewe. Pia unaweza kwenda Kwa Mkaro pale Mtendeni Shule ya msingi Covenant. Wengine watakuja kuchangia, kila la kher ktk maandalizi ma mitihani pia.
 
Huyo jamaa anaitwa Rashid ni hatari nilisoma notes zake tu za maswali na Majibu za financial accounting nikafaulu je ningeuzulia pindi zake??

Mtafute RASHID ndugu yuko vizuri sana.

Alafu mitihani inaanza mwishoni wa mwezi wa kumi sio kumi na moja.
 
asante sana mkuu, nishaenda leo kumuona rashid, tushayajenga, hope j4 ntaanza rasmi

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa anaitwa Rashid ni hatari nilisoma notes zake tu za maswali na Majibu za financial accounting nikafaulu je ningeuzulia pindi zake??

Mtafute RASHID ndugu yuko vizuri sana.

Alafu mitihani inaanza mwishoni wa mwezi wa kumi sio kumi na moja.
thanks, nimeonana nae leo, na tushayajenga

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtu aliyesoma BSc. Education(Math & Chemistry) anaweza kufuata procedures zipi ili kusoma CPA?
 
Habari za Jumapili wanajamii, mimi ni mhitimu wa bachelor degree ya accounting nataka nijiunge na tuition center yani cpa review classes hapa DAR ES SALAAM ila sijajua ni mahali gani pako vizuri kielimu na kigharama pia, HASA MASOMO mawili FINANCIAL ACCOUNTING na PUBLIC FINANCE AND TAXATION. Kwa yeyote anaefahamu naomba aniambie ili nianze mapema maana natarajia kufanya mtihani mwezi wa 11. karibuni wadau wa elimu. NATANGULIZA SHUKURANI

vp mkuu umeshafanikiwa kumaliza paper zote mi nataka nianze mwez wa 11
 
Huyo jamaa anaitwa Rashid ni hatari nilisoma notes zake tu za maswali na Majibu za financial accounting nikafaulu je ningeuzulia pindi zake??

Mtafute RASHID ndugu yuko vizuri sana.

Alafu mitihani inaanza mwishoni wa mwezi wa kumi sio kumi na moja.
Hbaari Katichi,
Aise nipatie namba ya Rashid nataka kusema nae tafadhari.
Asante
 
Habari wakuu,

Kwa upande wa Course ya Business Law sehemu gani kuna mwalimu mzuri kwa Dar es Salaam?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom