ynna
Member
- Jul 13, 2017
- 59
- 25
Asante sana mkuuuCertified Public Accountant
Asante sana mkuuuCertified Public Accountant
Sasa alisoma diploma...na hakusoma CPA...na yule aliyeisoma tofauti yao iko wapi?Certified Public Accountant
C.P.A ni kufanya mitahani ya kukucertify kuwa mhasibu kamili bila kuwa na c.p.a ukiwa na Hiyo Dip utaitwa Accounts Assistant.Sasa alisoma diploma...na hakusoma CPA...na yule aliyeisoma tofauti yao iko wapi?
Kwahio mtu mwenye dip account anaanza na level gan je anaweza kuanza na intermediate level?C.P.A ni kufanya mitahani ya kukucertify kuwa mhasibu kamili bila kuwa na c.p.a ukiwa na Hiyo Dip utaitwa Accounts Assistant.
we upo field gani swahiba?
ataanzia foundation.. Na kwenda Intermediate lazima uwe na Barua ya kufaulu iyo level ya foundation au uwe umemaliza shahada ya uhasibu au uhasibu na fedha ndo utaanza na hiyo IntermediateKwahio mtu mwenye dip account anaanza na level gan je anaweza kuanza na intermediate level?
Ninacho kiota nini kwani level zipo ngapi kijana jiangalieUnaota nadhani
Foundation,intermediate&final stage usome kwa miaka 2,hahah rahisi ka hivyo aisee.Stage tatu for 3 semester. Kama unajiweza foundation. Intermediate. Final stage. 2yrs
Vizur mkuu kwa maelezo yaloyonyooka na vp foundation unasomea kwa mda gan ?? Na intermediate mda gan?ataanzia foundation.. Na kwenda Intermediate lazima uwe na Barua ya kufaulu iyo level ya foundation au uwe umemaliza shahada ya uhasibu au uhasibu na fedha ndo utaanza na hiyo Intermediate