omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Habar za saiz waungwan polen na majukumu naomba kuuliza mhitimu wa ngaz ya diploma anauwezo wa kusoma CPA??
Mkuu hapo umeniacha ulivosema kama unajieza unaanza moja kwa moja .. Kujieza kivip yanDiploma unaanza kama Foundation afu Intermediary na baada professional kama unajiweza unaanza tu moja kwa moja Intermediary
Okay sawa mkuu nimekuelewa but kwa mtu mwenye diploma anasomea cpa kwa mda gan?Ndiyo anaweza kusoma, Hata muhitimu wa kidato cha nne akiwa na vigezo a naruhusiwa kusoma. Tofauti ni stage atakayo anzia.
Stage tatu for 3 semester. Kama unajiweza foundation. Intermediate. Final stage. 2yrsOkay sawa mkuu nimekuelewa but kwa mtu mwenye diploma anasomea cpa kwa mda gan?
kama huko na uelewa mkubwa wa akauntiMkuu hapo umeniacha ulivosema kama unajieza unaanza moja kwa moja .. Kujieza kivip yan
Na vp unaeza ukaishia intermediate level au lazima upige final stage


nielewesheUnaota nadhaniStage tatu for 3 semester. Kama unajiweza foundation. Intermediate. Final stage. 2yrs
Certified Public AccountantSamahan nisaidien sielewe hiyo CPA ninini? Sorry jaman