Coutinho wa Yanga anogewa na Sembe, Ubwabwa

Coutinho wa Yanga anogewa na Sembe, Ubwabwa

Future president

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
144
Reaction score
39
Waandishi wa habari wa namna gani tanzania!!? LEO KWENYE GAZETI LA MICHEZO CHAMPION WAMEANDIKA HABARI ZA AJABU ETI COUTINHO ANOGEWA SEMBE,UBWABWA YOUNG SC,TUPIME AKILI ZA WAANDISHI WETU JINSI WALIVYO WAAJABU
 
ovyo kabisa! non inteligence non proffesional journalist "makanjanja"pia ana usimba~simba huyo
 
Waandishi wengi wa siku hizi ni Makanjanja,baadhi ya magazeti siku nyingi nimeshaacha kuyasoma kwa sababu hiyo.
 
ndo matatizo ya kuingiza ushabiki kwenye uandihi!!!
 
aangali puchi zake kama zimetoboka tu itakua habari
 
Waandishi wengi wa siku hizi ni Makanjanja,baadhi ya magazeti siku nyingi nimeshaacha kuyasoma kwa sababu hiyo.
Sote tungeiga mfano wako, huenda ingekuwa ni fundisho kwa waandishi. Lakini haisaidii kwa sababu wenyewe wameshajua udhaifu wetu, linalomkera Simba litanunuliwa na Yanga, na ltalomuudhi Yanga litakombwa na Simba. Mungu awape nini tena makanjanja hao?
 
Magazeti ya championi na mwanaspoti hata nikakuta wanagawa bure wala sichukui manake kuna waandishi wa ajabu ajabu sana, championi si ndo kuna yule jamaa anaejiita mr. liverpool a.k.a ezekiel kamwaga!!!!!!...... sasa habar za ubwabwa zinakujaje!! halafu ukute mhariri amepitia......bado safar ni ndefu kwa waandishi wetu wa habar kuja kufikia level tunazozitarajia
 
Waandishi wa habari wa namna gani tanzania!!? LEO KWENYE GAZETI LA MICHEZO CHAMPION WAMEANDIKA HABARI ZA AJABU ETI COUTINHO ANOGEWA SEMBE,UBWABWA YOUNG SC,TUPIME AKILI ZA WAANDISHI WETU JINSI WALIVYO WAAJABU

Mkuu, usisumbuke bure. Wandishi wa habari za michezo wa ukweli wapo Brazil kwa sasa!
 
Back
Top Bottom