Hizi course inabidi uzipende kutoka moyoni ukizichagua kwa kuangalia soko hautamaliza, au utamaliza na ujuzi mdogo. lakini kama unazipenda kweli, chagua computer science kama unapenda code na kutengeneza software, IT au ICT kama unapenda graphics designing, front end web dev, system analysis e.tc.