Soko ni kubwa sana kwa mfano mwezi huu tanesco wamechukua zaidi yawatu 100 na bado wamepugukiwa wametangaza tena.
nenda chuo cha maji pale wanatoa shortcourse
Ni kozi nzuri tu,kwa experience kidogo niliyonayo unaweza kuajiriwa au kujiajiri(Tanesco,Idara ya Maji,Manispaa,TFS,TRA,NBS) na bado ni wachache.Wengi waliopo wana masters na short course.Kila lenye heri.