Niseme kwa upande wangu hiyo ya SUA, Bsc of environmental science and management
Hapo unaweza Fanya kazi ofisi nyingi sana serikalini mfano
.Nemc
.wizara ya mazingira
.halmashauri
.ofisi ya mkemia mkuu
.TFDA
.TBS
.wizara ya madini
.TMA...Tanzania Meteorological Agency
.mamlaka ya hali ya hewa viwanja vya ndege
.OSHA
Pia sekta binafsi zipo sehemu nyingi mfano
.migodini
.mashirika mbali mbali mfano world vision na mengne yahusuyo mazingira n.k
Kumbuka kupata ajira hasa siku hizi swala ni kuwa na connection GPA au chuo gan umesoma si ishu, swala nani anakujua na wapi kuna connection
Sawa nimwacheki course environmental technology, management nk. Course zote nimeona nilisoma kwenye geography so nianze kufuatlia application zao huw ni mda gani nasoma taratibu huk nkiwa na kaz yang ya ualimu