Mawili.Wanajanmvi nina Div 3.13 ya form 6 with DDE. Ninapata mtafaruku hapa, wanaposema kwa MD cut-off-points zinatakiwa 5, hapa ina maana wanahesabu masomo mangapi?? Ni mawili au matatu yote ya combination?
Wanajanmvi nina Div 3.13 ya form 6 with DDE. Ninapata mtafaruku hapa, wanaposema kwa MD cut-off-points zinatakiwa 5, hapa ina maana wanahesabu masomo mangapi?? Ni mawili au matatu yote ya combination?
Kuna vitu vinne tofauti vya kuzingatia. Kuna minimum qualifications ili uweze kufikiriwa kudahiliwa na CAS ya TCU. Hapa ndio wanaangalia kama una angalau point 4 kutoka masomo mawili (za chini ni kutokana na DD, CE). Hiki ndio kigezo cha kwanza.Sawa mkuu, sasa mfano kwa kozi kama zenye cutpoint ya 4.5 hapo inakuaje kwa masomo mawili??
Wanajanmvi nina Div 3.13 ya form 6 with DDE. Ninapata mtafaruku hapa, wanaposema kwa MD cut-off-points zinatakiwa 5, hapa ina maana wanahesabu masomo mangapi?? Ni mawili au matatu yote ya combination?
Wanajanmvi nina Div 3.13 ya form 6 with DDE. Ninapata mtafaruku hapa, wanaposema kwa MD cut-off-points zinatakiwa 5, hapa ina maana wanahesabu masomo mangapi?? Ni mawili au matatu yote ya combination?
Sawa mkuu! Ahsante. Hivi wildlife management inabeba careers kama zipi vile??n̲̅i̲̅ m̲̅a̲̅w̲̅i̲̅l̲̅i̲̅ i̲̅l̲̅a̲̅ m̲̅d̲̅ s̲̅a̲̅h̲̅a̲̅u̲̅ k̲̅k̲̅ t̲̅a̲̅f̲̅u̲̅t̲̅a̲̅ k̲̅o̲̅z̲̅i̲̅ n̲̅y̲̅i̲̅n̲̅g̲̅n̲̅e̲̅ c̲̅o̲̅u̲̅z̲̅ o̲̅f̲̅ c̲̅o̲̅m̲̅p̲̅e̲̅t̲̅i̲̅t̲̅i̲̅o̲̅n̲̅
Ooh! Nimekupata vizuri sana mkuu. Shukrani.Kuna vitu vinne tofauti vya kuzingatia. Kuna minimum qualifications ili uweze kufikiriwa kudahiliwa na CAS ya TCU. Hapa ndio wanaangalia kama una angalau point 4 kutoka masomo mawili (za chini ni kutokana na DD, CE). Hiki ndio kigezo cha kwanza.
Pili: Wanasema ni masomo yapi wanayo taka muombaji awe amefaulu. Wengine husema masomo yoyote mawili, masomo mawili ya science au science, wengine wanasema lazima ufaulu wako uwe kwa mfano na hisibati pamoja na economics (degree ya BA in Economics and Statistics).
Tatu vyuo vinaweka ufaulu wa chini unaokubaliwa kwa wale waliopita kigezo cha kwanza kilichowekwa na TCU na cha pili-mfano wake ni MUHAS wanataka point 8 na hizi sasa zinatokana na masomo yako yote. Yaani hawa sasa wanapandisha vigezo. Maana yake ni kuwa kama hufikishi hizo point 8 hawakufikirii wanakuacha.
Baada ya hapo ndio wanapanga wale wanaokidhi vigezo vyote kuanzia mwenye ufaulu wa juu hadi wa chini-na kuanza kujaza nafasi. Ufaulu wa yule wa mwisho wanaemchukua ndio kati-off point ya mwaka huo. Kwa mantiki hiyo hatuwezi kuongelea cut off point ya mwaka huu mpaka zoezi litakapokwisha lakini tunaweza kuongelea cut off point ya mwaka wa jana.

Omba medical laboratory za muhimbili uezi kosa hapo.Wanajanmvi nina Div 3.13 ya form 6 with DDE. Ninapata mtafaruku hapa, wanaposema kwa MD cut-off-points zinatakiwa 5, hapa ina maana wanahesabu masomo mangapi?? Ni mawili au matatu yote ya combination?