Course ya AMO (Assistant medical officer)

Mchinox

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
242
Reaction score
268
Hivi kozi ya AMO inarudishwa lini kwa mwenye taarifa,,,na hua inatolewa vyuo gani..?
 
Hivi kozi ya AMO inarudishwa lini kwa mwenye taarifa,,,na hua inatolewa vyuo gani..?
Kwanini AMO irudishwe? Ilikuwa ni crush course kutokana na uhaba wa MD's lakini kwasasa hakuna uhaba huo. AMO ya nini tena?
 
Kwanini AMO irudishwe? Ilikuwa ni crush course kutokana na uhaba wa MD's lakini kwasasa hakuna uhaba huo. AMO ya nini tena?
Kuna tetesi nimeziskia kua mwaka wa masomo 2023/2024 chuo cha tanga watatoa..
 
Wazee ivi criteria za kujiunga AMO currently zikweje ? Ikiwa ni pamoja gpa nk.
 
Search chuo husika utakuta namba zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…