Ballen Gama
Member
- Jan 24, 2017
- 27
- 17
Habari wana jf nimehitimu kidato cha nne mwaka jana na kupata daraja la tatu. Lakini nmefaulu zaid art subject na sina ndoto za advanc naombeni ushauli nisomee nn kwa haya masomo?.... Kisw C bios C histo C engli C geo C agr D math F civ D phy F chem F.