hahahahaha lol
daaahh kwa ujumla wanaume wanafikiria SEX tuuuu
Danger lol:thinking::thinking:
Hahahah nilivyosoma soma katikati ya mistariBasi mi niko tofauti na wanaume ktk hilo.
Mimi ninavyojua ktk mahusiano, sex ni matokezeo tu wala siyo indicator ya upendo wa dhati. Anayetaka zaidi sex huyo anataka akidhi haja zake tu.
Lakini pia, napenda enjoyement za sex (im romantic), napenda touches, napenda kisses. Tena milango iko wazi ktk hili ila nazingatia umri tu. Natania jamani....
kwi kwi kwi kwiii
Basi mi niko tofauti na wanaume ktk hilo.

That is so true...
For men the first time anakuona cha kwanza kufikiria juu yako ni how SEXY you are,
cha pili kufikirikiria ni SEX,
cha tatu kufikiria ni how flexible you may be during SEX,
cha nne kufikiria ni zile body parts anazopenda (i.e legs, back view, cleavarage) are they his tastes for they are important to him during SEX
cha tano sasa ndo anajiuliza 'I wonder what her name is - let me try my shot"
wewe nawe mbona hueleweki?
umechokoza kule kwa Miss Judith (MRS MTARAJIWA)
kisha umekimbilia huku lol....
LOL....Nisharudi kule, nimekuta Gaijini maelezo alodadafua kaniridhisha nilikua na wasi wasi..... sasa wewe unatafuta nini huku? Umeona mawazo yanu yametawaliwa na nini eeeh?
huku nilikuja kukutafuta wewe bana,
uwe unaaga mama!!!!!!!!!!
Mkwaruzo mi naelewa Men are sometimes so funny, kufikiria kwake SEX kila saa haimaanishi kua hakupendi ... ila inamaanisha tu ni kwa jinsi gani junior anamuongoza sana katika maamuzi yake juu ya mwenza wake ...
Basi mi niko tofauti na wanaume ktk hilo.
Mimi ninavyojua ktk mahusiano, sex ni matokezeo tu wala siyo indicator ya upendo wa dhati. Anayetaka zaidi sex huyo anataka akidhi haja zake tu.
Lakini pia, napenda enjoyement za sex (im romantic), napenda touches, napenda kisses. Tena milango iko wazi ktk hili ila nazingatia umri tu. Natania jamani....
kwi kwi kwi kwiii
Are you GAY or something???!!!!!
Are you GAY or something???!!!!!
Are you GAY or something???!!!!!
Massaiboi i really hope unatania, that is so rude!!!