Country Music

Me nadhan ni mtazamo tu wa vijana kutoendana na lifestyle ya Country, Japo wapo waloimba tangu ujana mpaka wakazeeka na wapo vijana wa sasa wanaimba.
Hawa wakina donny kenny walianza tangu vijana 🤷🤷 maana naona nyimbo zao nyingi ni watu wazima 😀😀😀
 
Me nadhan ni mtazamo tu wa vijana kutoendana na lifestyle ya Country, Japo wapo waloimba tangu ujana mpaka wakazeeka na wapo vijana wa sasa wanaimba.
Vijana ni wengi mno wanaoimba Country wengi sanaaa
 
Duuuh, Anamaanisha wapo wakali zaid? Eb elezo kidogo juu ya hiyo Classical mkuu
Kama huna hela this music is not for you 😃 my favorite classical very touching piece
Ndio anamanisha wako wakali zaidi.
 
Kama huna hela this music is not for you [emoji2] my favorite classical very touching piece
Ndio anamanisha wako wakali zaidi.
Anazungumzia genre mbili tofauti,, wakina luciano Pavarotti,,, na vipande vya nessun dorma au la donna e mobile
 
Kama huna hela this music is not for you [emoji2] my favorite classical very touching piece
Ndio anamanisha wako wakali zaidi.
Kwamba maskin ukiimba husikilizwi au inakuaje?
Ujue Aina nyingine za mziki hiwa zinaendana tu na tabaka la watu flan kulingana na utamadun wao lakin haimaanish watu wa tabaka jingine hawawezi kufanya, Mfano bongo Singeli ya waswahili lakini hata Wanyasa wanafanya siku hizi[emoji23]
 
Hawa wakina donny kenny walianza tangu vijana [emoji1745][emoji1745] maana naona nyimbo zao nyingi ni watu wazima [emoji3][emoji3][emoji3]
Mfano Kenny ameanza kitambo sana tangu ujana lakini alikua katika band, Amekuja kuimba kama msanii anaejiyegemea akiwa mtu mzima tayar ndo maana inakua ngum sana kumtambua ujana wake katika Country
 
Opera mziki au makelele najitahid ila ushanshinda😂
 
Nimekuwa naufatilia huu mziki wa singeli kwa kuwa naishi Manzese. Kwa kweli hata juzi nilimwambia mke wangu huu mziki wa kishetani 😄 People dance like wako possesed. watu wanachanganyikiwa huku uswahilini wanatimua vumbi, wanavua nguo, wanakalia chupa, wanazunguka barabarani mchana jua kali huku wakiwa hawajavaa chupi. Ukipigwa watu anacheza kama wafuasi wa mfalme zumaridi. .

Singeli ni mziko ambao uko so powerful, una nguvu ya ajabu huu mziki sio wa kawaida kabisa. Kuna wasanii wakiimba huu mziki wafuasi wanakuwa machizi. Unajiuliza hivi hawa watu vichwa haviwaumi, full kelele. .


Ila matajiri hawawez kusikiliza singeli labda matajiri wa uswahilini kama mimi😄
 
Opera mziki au makelele najitahid ila ushanshinda😂
Man you are mean. Usipokuwa tajiri huwezi elewa you have to feel it with your heart experience it and have passion.

Baki unasikiliza tu singeli🤣
🤣
 
Mfano Kenny ameanza kitambo sana tangu ujana lakini alikua katika band, Amekuja kuimba kama msanii anaejiyegemea akiwa mtu mzima tayar ndo maana inakua ngum sana kumtambua ujana wake katika Country
👍👍👍
Hii thread imenifanya niingie chimbo nimeshusha island in the stream hapa
 
Show zao watazamaji wengi ni wenye pesa,, and mostly huwa ni austria ticket za show huenda hadi 950k pesa ya kitanzania?
 
Show zao watazamaji wengi ni wenye pesa,, and mostly huwa ni austria ticket za show huenda hadi 950k pesa ya kitanzania
 
😀😀😀 singeli ni sawa na hard rock music ukienda kwa wazungu sijawi elewa wanaimbaga manini yale zaidi ya kelele tu
 
Yeah hawa wa kisasa pia wakali aga nawasikiliza wapo makin sana, Lakin naona dunia haiwapi sikio sana, unadhan kwanini?
kwavile haina makalio, vichupi na macheni ya kung’aa...vijana wengi wanaona boring nchini kwao wanaona mziki wa shamba

Nashangaa ile “Meant to be” ya Florida Georgia line ilipenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…