Countries with the most beautiful women in the world

Hii list ni fake kabisa

Kuna kaeneo huko katikati ya Turkey na Iran anakotoka Kim Kardashian
 
Hii ni mada tata sana.
Hizo picha zote ulizobandika nimeshawahi kuwakuta mitaani Tanzania na zaidi ya hao.Na muhimu zaidi ni mapenzi ya mtu mwenyewe.Kama mimi sijaona kuliko wasomali ambako niliona nikaowe huko.
 
USA itoe kwenye list maana imekusanya raia wa kila taifa hapa duniani,tofauti na hapo mtoe huyo Jolie weka any native American unayemjua.
 
When we talk about beauty, it's right to say everybody is beautiful in their own way, beauty is about the heart & character, beauty lies in the eyes of the beholder and other interesting quotes.

There are several factors which influence one person's attraction to another and physical characteristics is among as we can't deny the physical beauty of women around the world which delights the eyes.

In respect of this, I will be giving a list of countries that are known to have the most beautiful women based on their physical features such as facial symmetry, body shape, waist-hip ratio etc. and the accolades they have gotten in beauty competitions.


Top Countries With The Most Beautiful Women

Philippines

f3365f14d0d583f8d6d3ebbad73d924c


Colombia
7e9a9458af28e114e81da5def55c9bf5

ce15f9ce8f4c5fc8f0af1528970506f2



Brazil
21fc192fb3e3ec8c14e421e84124af1c

328ff8d14c421a15fa8bc139af0fdf73



Venezuela
1b38ad7c2dc59e5ecc7f9b5d8ab647c8





1fc02734329fa34ba11d4b8fd68be11f



Netherland
53fcce68a0c64ec4dd2a53ed2484fdd5

9ac10b98341d903ea36ec0485116849a



Sweden
bad926c4f25a9a74f736fdb210627662

a94ca2feb09e116b8ae67bafa8ac4848


Canada
d6d01c548507c15d5920e182f22071c3


d118065f5d7f3af9369596817f414a21


U.S.A
2e8ac21b14bd4bf193ae8990b13315a7

9468c3835b51fb3b4419235ad48c978f



Russia
2fea1ca11dd6fdda4d606bc5d3e3a4ee

440bcd13b94c5ceba3639cb03a4b5ada



Jamaica
82bbc314edfa6eb43533f97cf7529517

d47f8adaedc4725d03f8806de177ad64



South Africa



Italy

b9ff0087af71fec29225ef9fa3458234

What other country do you think should be there?

Share your opinion and follow for more exciting content 💥
north america is fireeeeeeeeeee
 
Twende pamoja na Jamaica, mademu wa kibongo nawaogopa, demu identity Yake eti JINI MAIMUNA, halafu anataka umzamie chumvini. Demu anakula mlo mmoja chai, chips, maandazi, mihogo, vitumbua, mkate, Pepsi,kiporo Cha wali maharage, na bado anasema hajashiba umnunulie supu ya kichwa kizima Cha mbuzi
Kuna demu nilikutana nae Chatto anakula vyote hivyo na anadai bado hajashiba anataka mahindi ya kuchemsha
 
Hiyo frame ya kwanza ya Jamaica bado naiangalia hapa sijajua nikikutwa nitaeleza nini ila kikubwa uzima
 
I agree
Miaka flan wakati nipo primary enzi hizo JLo yupo sokoni kuna jarida huko kwao liliandika JLo ndio mwanamke mrembo wa mwaka kupita wote ulimwenguni. Na utoto wangu nilireason

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaha!! Umenikumbusha miaka ya 2009 huko nimeingia zangu form1 tunakaa na wadau kwenye ghetto moja la kihuni kuta zimejaa magazeti yaliyobandikwa na wahenga (wahuni waliokaa humo kipindi cha nyuma na wameshaua four kitambo), kulikuwa na gazeti lina picha ya J-Lo, kwa chini limeandikwa: J-Lo; Mwanamke mrembo zaidi duniani. Nikamkubali sana!

Lakini palepale kwenye magazeti tukawa tunachagua mademu wakali, Nancy Sumari (alikuwa Miss Tz kama sikosei) akawa anaongoza kwa kura za mayanki, akamfunika J-Lo!
 
Back
Top Bottom