Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
Jumamosi ya tarehe 14 hakika tutaona pambano la mwaka la masumbwi katika uzani wa walterweight kati ya mpueto rico Miguel Cotto na pound for pound King- Manny Pacquiao.
Sidhani kama Pacman amewahi kuwa na pambano gumu kushinda hili, Cotto ni very strong pysically na ana ngumi nzito, sina hakika sana na stamina yake, katika pambano lake la mwisho dhidi ya Clottey japo alishinda kwa points lakini wote tuliona jinsi alivyostruggle na aliruhusu ngumi nyingi kuingia.
Nategemea speed ya Pacman na uzito wa ngumi zake zinazotoka kila kona utampatia ushindi wa points au KO katika rounds za jioni. Naomba sana ashinde huu mpambano ili mwakani tuone mpambano wa karne kati yake na Money Maywether. Lakini kama ushindi utakuwa ni wa Cotto- ni lazima itakuwa KO ya mapema, akizubaa hadi pambano lifike round ya sita atapigwa.
nashangaa sana leo kimya wakati ngumi nzuri hizi.mimi hapa tayari nishaanza kuangalia mapambano ya utangulizi hapa.Wakuu hivi pambano ni saa ngapi??
Wapenzi wa ngumi leo naona wachache
nashangaa sana leo kimya wakati ngumi nzuri hizi.mimi hapa tayari nishaanza kuangalia mapambano ya utangulizi hapa.
Jamani PacMan ni beast, I can not believe it, Cotto should give up!
sasa tusubirini mayweather vs pac man simchezo .
Pacman ni noma,jana unaambiwa baada tu ya kushuka ulingoni, akaenda zake mandalay bay kwenye concert ku perfom na band yake ya MP band ambayo iko juu sana huko kwao .Nimesoma post fight interview, Cotto anasema alikua hajui ngumi zinatoka wapi! Pretty boy will be slaughtered......bring it on mwakani.
Seven world tittle.............watu wote walisema hatoweza kumpiga huyu Cotto na leo itakuwa mwisho wake pac man.....lakini kawaonyesha kama yeye the best
Pacman ni noma,jana unaambiwa baada tu ya kushuka ulingoni, akaenda zake mandalay bay kwenye concert ku perfom na band yake ya MP band ambayo iko juu sana huko kwao .Nimesoma post fight interview, Cotto anasema alikua hajui ngumi zinatoka wapi! Pretty boy will be slaughtered......bring it on mwakani.
Hayo maneno aliyasema pia Marques... the guy has electronic speed and i think he is doing lots of martial arts because his discipline in attack is unbelievable!!!
Ila kwa Mayweather, its a whole new ball game!!! Remember Pretty Boy ana defense isiyo na mfano na ana nidhamu ya hali ya juu kwenye fight na hatupi ngumi ovyo... He has Muhammad Ali defensive skills and he is very fast too
Nahisi pambano lao litakuwa too cautious na halitachanganya kama la Marques/Pacman au Hitman/pacman
Prediction: Mayweather to win by KO😀
Tatizo ni yule kichaa Mosley tu hapo kati
PacMan has fought every big name on sight, next on line has to be Floyd if not old man Sugar Shane Mosley!
I agree. Money Mayweather's defense is impregnable. He's never been knocked down. Never been knocked out. Never been hurt. And most importantly he's never lost a fight. He's 40-0.
My prediction is if they ever fight, don't expect to see any fireworks. It may be a boring fight to the casual fans but to us boxing enthusiasts it may be a great display of the sweet science and Money Mayweather will take the W.