Mremaaa
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 293
- 325
Poa MkuuZimeshachukuliwa stock yote mkuu
Poa MkuuZimeshachukuliwa stock yote mkuu
Umeniquote wrong ckuwa nauza individual item wala sikuwa na prescribe hapa nilikuwa natafuta market kwa watu wenye pharmacy wanaouza kwa wholesale that was my target na nmeshaumaliza mzigo woteNyinyi ndiyo mnsababisha kuenea kwa antibiotic resistance, sasa mtu ananunua hilo kopo, kila anaekohoa ndani ya nyumba yake atapewa antibiotics wakati magonjwa mengine mwili unaweza kujitibu wenyewe bila kuhitaji dawa. Ni muhimu kupata prescription ya dr kama unaumwa na ukimaliza kutumia antibiotics zilizobaki zipeleke pharmacy wakusaidie kuzitupa/kuteketeza.
Nimekuelewa mkuuUmeniquote wrong ckuwa nauza individual item wala sikuwa na prescribe hapa nilikuwa natafuta market kwa watu wenye pharmacy wanaouza kwa wholesale that was my target na nmeshaumaliza mzigo wote