Kama upo Dar Piga namba kati ya hizi uwasiliane na wahusika kwa Dr. Shabbir - 0222113689/0753077076/0222116630/0754262063.
Gharama nafikiri inategemea na nini kitafanyika. Ni process ya muda mrefu kidogo. Nilimpeleka kijana wangu pale...I am not regreating. Alikuwa anataniwa shuleni wakimwita Sungura, leo nikiangalia picha zake za zamani ni tofauti kabisa. Imempa hata confidence. Ilichukua kama miaka miwili hivi kukamilika japo sasa bado anavaa chuma kwa ajili ya kuendelea kuyaweka sawa. Yeye alianza akiwa na miaka 14. Kuna gharama za kubwa unapoanza japo huwa anaruhusu malipo as you go on. Na kuna gharama za kila unapokwenda kukutana na mtaalamu kukaza vyuma. Ana Dr mzuri sana toka Kenya aliifanya kazi vizuri.
Kila la heri